VIONGOZI MBALIMBALI WA SERIKALI NA CHAMA WAFIKA KUMPA POLE RAIS DKT. SAMIA KIZIMKAZI MKOA KUSINI UNGUJA VISIWANI ZANZIBAR
Na Mwandishi wetu, DmNewsonline
ZANZIBAR
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba.
pamona na Viongozi wengine mbali mbali wa Vyama na Serikali Sambamba na Wananchi, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania mara baada ya kufika nyumbani kwake Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, kufuatia kufiwa na Mume wake Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki Dunia katika Hospitali ya Mzena Zanzibar, Sept, 07,2026. 













Comments
Post a Comment