AHADI ZA CHAMA CHA MAKINI ZATIKISA ISIMANI WANANCHI KUPEWA MATREKITA 2 BURE KILA KATA
Na Eliasa Ally,DmNewsonline IRINGA. ZIKIWA zmesalia siku tatu kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika Jimbo la Ismani kufutia kifo Cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo William lukuvi kufariki Dunia ,vyamba mbalimbali vimeendelea kunadi sera zake kwa wananchi. Katika kuhakikisha Chama Chama cha MAKINI kimedhamiria kuchukua kikoba hiyo kimetoa ahadi kwa wananchi kuwa endapo kinampa kura Mbunge wao basi Kila kata ndani ya Jimbo hilo watapewa Trekta kwa ajili ya kilimo bure. Pia mgombea huyo amesema mbali na kutoa Trekta hizo lakini wananchi wataendelea kunufaika na suala la elimu bure kwa watoto wa familia za kawaida. Kauli hizo zilitolewa Mei 28, 2026 Katika mkutano mkubwa wa kampeni uliofanyika Kijiji cha Mlowa, Kata ya Mlowa na Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa Costa Kibonde, ambapo wananchi walijitokeza kusikiliza sera za Chama hicho. "Chama chetu kupitia mgombea wetu huyu mkitupa ridhaa katika Jimbo hilo tu tatoa matrekta mawili kwa kila kata ndan...