DKT.NCHIMBI:NITAENDELEA KUWA RAIA MWEMA.
Na Mwandishi wetu, DmNewsOnline
MAKAMU wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt.EmmanuelJohn Nchimbi amejiuzulu Leo.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ofisi ya Makamu wa Rais mjini Dodoma ili eleza kuwa Dkt. Nchimbi amejiuzulu kwa mujibu wa ibara 50(2)C pamoja na 149(2) ya katiba ya Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania.
Katika Barua yake aliyomwandikia Rais, Agosti 28,2026 Dkt.Nchimbi amesema kuwa mnamo Agosti 27 Mwaka jana alimwaidi kushirikiana na Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa uwezo wake na kwa Uaminifu mkubwa nakusisitiza kuwa ataachia ngazi siku yoyote.
"Nitaachia nafasi hii nimejiridhisha kuwa Mheshimiwa Rais pasipo shaka anahitaji mabadiliko kwa hiyo nimetimiza Ahadi yangu" Amesema Dkt.Emanuel Nchimbi.
Dkt..Nchimbi katika Barua yake aliyomwandikia Rais alieleza kuwa amekishukuru Chama chake kwa imani waliyonayo kwake nakusisitiza kuwa ataendelea kuwa Raia mwema Watanzania.

Comments
Post a Comment