KING DODO LA BUSH KUWA KUTANISHA WA CONGO JUNI 3 ,KUSHEREKEA UHURU.
Timothy Marko DmNewsOnline
DAR ES SALAAM.
KATIKA Kuadhimisha miaka(66) siku ya Uhuru wa Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Congo (DRC) June 3,Mwaka huu , Baadhi ya Wanamuziki wenye Asili ya Nchi hiyo waishio Nchini Tanzania wamesema kuwa wanatarajia kusherekea siku ya Uhuru wa Nchi hiyo wakiwa Tanzania.
Akizungumza Leo juni 26,2026 jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa wanamzikihao waishio Nchini Tanzania King Dodo la Bush amesema katika Maadhimisho hayo yanatarajiwa kuhudhuliwa na Wanamziki wa Congo waliowahi kuishi Nchini Tanzania akiwemo Nyosh Eli sadat kutoka Fm Accademia pamoja Christian Bela.
"Tamasha hili linaenda sambamba na Shukrani kwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan amekuwa akitulinda nakutupa Ushirikiano katika Biashara na muziki kwa wa kongo waishio Nchini Tanzania "Amesema King Dodo la Bush.
King Dodo Ameongeza kuwa Tamashahilo, la Burudani ya Wanamziki wa Congo waishio Nchini Tanzania ,linatarajiwa kufanyika hotel ya Montana
Makumbusho na kiingilio ni Shilingi 30,000.

Comments
Post a Comment