MANARA:TUJIULIZE TANZANIA IMETOKA WAPI.

   Timothy Marko DmNews online 

          DAR ES SALAAM

 DIWANI  wa kata ya Karikoo Jijini Dar es Salaam Haji  Sunday Manara amewataka Vijana Kudumisha Amani nakusisitiza kuwa  Suala la Amani nikipaumbele cha kwanza katika misingi ya kitaifa.

Akizungumza na waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam  leo Oktoba 19,2025 Manara amesema enzi ya Miaka ya 1980 Tanzania ilikuwa inapitia Changamoto Ikiwemo ukosefu  wa Chakula Watu walikuwa Wakipanga foleni kwaajili ya unga na Sukali .
,,
Nchi hii imepitia wakati mgumu sana, lakini kipindi chote hicho Haki haikudaiwa kwa Maandamano, Changamoto za Ajira ni Changamoto za kidunia ,, Amesema Manara .

Manara akisisitiza Suala la Amani utaitwa Chawa lakini ukweli tumekula unga wa njano na kuwa Katika Nchi ya Tanzania hakuna kitu cha kudaiwa isipokuwa Amani.
,,
Kabla ya Kuandamana Nilazima tujiulize Mwaka 1980 Tanzania ilikuwaje Mwaka 1987Ndio tulikuwa nasera za kuleta Bidhaa,Hakuna kitu cha kudaiwa isipokuwa Chakula ,, Amebainisha Manara.

Comments

Popular posts from this blog

UONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA WADAIWA SI HALALI NA UMEKOSA DIRA YA KUENDESHA VYAMA VYA WAGANGA WA TIBA ASILI

MWAKIPOSA ASHINDA NAFASI YA UWENYEKITI WA WENYEVITI WA SERIKALI YA MTAA MKOA WA DAR ES SALAAM

KILINDI BARABARA BADO NI CHANGAMOTO