MLIOKUWA WABUNGE KARIBUNI URAIANI.RAIS SAMIA AVUNJA RASMI BUNGE.

Na Mwandishi Wetu,DmNewsonline 


                    DODOMA

RAIS  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Juni 27 ,2025 amelihutubia Bunge la jamhuri ya Muungamo wa Tanzania  wakati akilivunja Bunge  hilo la 12.

Akihutubia Bunge ambalo lililokuwa  likiongozwa na mwanamama Dkt.Tulia Akson na kusaidiwa na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la ilala Musa Azan Zungu.rais Dkt.Samia alieleza mambo mbalimbali ambayo yamefanywa katika kipindi chake Cha uongozi huku akimpongeza sipka kwa ueledi wake wa kuliomgoza.

Amesema wakati anaichukua nchi miaka minne iliyopita kulikuwa na miradi mbalimbali ambapo wakati akihutubia Bunge kwa mara ya Kwanza alihaidi kutekeleza jambo ambalo amelifanya kwa kiwango kikubwa.

 Ikumbukwe kuwa Rais Dkt.samia amelivunja bunge rasmi na tayari kuashiria kwa kipyenga Cha uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 ambapo watanzania watapa nafasi ya kuchagua viongozi wao katika ngazi ya Urais,Ubunge na madiwani  



Comments

Popular posts from this blog

UONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA WADAIWA SI HALALI NA UMEKOSA DIRA YA KUENDESHA VYAMA VYA WAGANGA WA TIBA ASILI

MWAKIPOSA ASHINDA NAFASI YA UWENYEKITI WA WENYEVITI WA SERIKALI YA MTAA MKOA WA DAR ES SALAAM

KILINDI BARABARA BADO NI CHANGAMOTO