DOLA ZA MAREKANI BILIONI 1.31 MAPATO KUTOKA SEKTA YA UTALII NDANI YA MIAKA MITATU

“Katika kipindi cha miaka mitatu idadi ya Watalii Nchini imeongezeka kutoka 922,692 mwaka 2021 walioipatia Nchi mapato dola za Marekani bilioni 1.31 hadi Watalii 1,808,205 mwaka 2023 walioingiza dola bilioni 3.37” - Mobhare Matinyi, Msemaji Mkuu wa Serikali 
 





Comments

Popular posts from this blog

UONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA WADAIWA SI HALALI NA UMEKOSA DIRA YA KUENDESHA VYAMA VYA WAGANGA WA TIBA ASILI

MWAKIPOSA ASHINDA NAFASI YA UWENYEKITI WA WENYEVITI WA SERIKALI YA MTAA MKOA WA DAR ES SALAAM

KILINDI BARABARA BADO NI CHANGAMOTO