WAZIRI GAO:MWENYEZI MUNGU ANAPENDA RANGI KIJANI NA NJANO HAPENDI RANGI NYEKUNDU.

  Na Mwandishi wetu, DmNews Online 

        DAR ES SALAAM. 

MKUTUGENZI wa Big Man Football Club nambapo pia mfanyaboashara mkubwa wa madini Waziri Gao  amesema kuwa ligi ya  na lengo kubwa nikuona BigMan siku Moja inashiriki ligi kuu Tanzania bara

Gao amesema kuwa yeye kama mkurugenzi anajipanga vizuri na hata wachezaji wake mara kadhaa amekuwa akiwakumbusha dhamira ya timu ya BigMan ni kuona inapiga hatua kwa kupambana na ndio maana hata walipopafa nafasi ya kucheza michuano ya CRDB walionyeaha ushindani mkubwa dhidi ya timu walizocheza nazo ikiwamo Simba sc .

Akizungumza Leo April 25,2026 Dm Newsonline   jijini Dar es Salaam Waziri Gao amesema uanzishwaji  wa  timu hiyo ya Big man Football Club nikutokana nakuwa na mchango Mkubwa kwa Vilabu vya Soka vinavyo shiliki Ligi kuu ya Tanzania ikiwemo baadhi ya vilabu vikubwa hapa Nchini .

" Ndugu Mwandishi nataka ujuwe kuwa Mimi naitwa Mr.Big Man kutokana na Mchango wangu kwenye mpira wa nchi hii hususani kwneye  Vilabu vya Soka kama vile yanga na Total Afrika ya Mwanza niliweza kuziongoza timu hizo Vizuri " Amesema Gao.

Ameongeza kuwa hali yakupotea kisoka nikutokana na imani yake ya kidini nakubainisha kuwa rangi ya kijani ni rangi pendwa kutoka kwa Mwenyenzi MUNGU na ndio maana hata yeye amekuwa mpenzi wa vilabu ambavyo vinavaa rangi hizo. 

Amesisitiza kuwa hata hali ya Mahaba ya Timu hizo nikutokana na rangi ya kijani na Njano kupendwa na Mwenyezi Mungu na kubainisha kuwa rangi Nyekundu kwa Imani yake sio chaguo lake kabisa .

"Angalia mfano pale Afrika Kusini Kuna timu  ikiwemo Mamelodi Sundowsm zinavaa jezi zenye rangi ya kijani na njano,nahata timu yangu ya Bigaman inavaa  jezi kijani na njano,Mimi kwa mtazamo wangu MUNGU hapendezwi na rangi Nyekundu"amesema Gao.

Ameeleza katika kuiongoza timu yake anakuwa na mahapa kwa namna anavyo fanya  Rais wa Young Afrika Injinia Hensi Said.

" Mnajua mimi ni mfanyaboashara mkubwa na Nina marafiki nje ya Nchini kama Ujerumani Italia.kwahiyo naiga Mambo ya Maendeleo "Amesisitiza Gao.


Comments

Popular posts from this blog

UONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA WADAIWA SI HALALI NA UMEKOSA DIRA YA KUENDESHA VYAMA VYA WAGANGA WA TIBA ASILI

DKT. KIJAZI KUSIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA KOROGWE MJINI.