MWENYEKITI ACT _WAZALENDO NGOME YA VIJANA WANAWAKE KUSHEHEREKEA SIKU HIYO KWA KUTEMBELEA WATOTO YATIMA

  Timothy Marko DmNews Online 


            DAR ES SALAAM. 


MWENYEKITI Ngome ya Wanawake Taifa wa Chama Cha ACT Wazalendo Janet Rite amewataka Wanawake Nchini kusherekea Siku hiyo kwa kutembelea watoto yatima.

Akizungumza Leo Febuari 26,jijini Dar es Salaam Janeth Rite amesema kuwa Siku hiyo itumike kuona yatima na kuwafariji.

Amesema kuwa Chama hicho kitatumia Marchi 8 ambayo ni siku ya Wanawake kwenda kuwa fariji yatima waliopoteza Wazazi wao  sambamba na kufanya Usafi Hospitalini.

"Tutatoa Damu ilikuweza kuokoa Maisha  ya watanzania,Tutatembelea Makaburi yawaliofariki October 29,2025." Amebainisha Janet.  

Comments

Popular posts from this blog

UONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA WADAIWA SI HALALI NA UMEKOSA DIRA YA KUENDESHA VYAMA VYA WAGANGA WA TIBA ASILI

NAIBU WAZIRI NDERIANANGA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA TATU WA KIMATAIFA WA WATU WENYE ULEMAVU UJERUMANI.