RC BALOZI BATILDA BURIAN AFUNGA MAADHIMISHO YA WIKI YA HUDUMA YA FEDHA KITAIFA


Rc Tanga, Balozi Batilda Burian. Leo Januari 26,2025, amefunga Maadhimisho ya wiki huduma ya fedha Kitaifa yaliyofanyika kwenye viwanja vya usagara Mkoani Tanga

Kabla ya kufunga alitembelea mabanda yalikuwa kwenye viwanja hivyo ikiwemo Banda la Benki ya  NMB na akawapa hongera kwa kazi kubwa wanayoifanya




Comments

Popular posts from this blog

UONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA WADAIWA SI HALALI NA UMEKOSA DIRA YA KUENDESHA VYAMA VYA WAGANGA WA TIBA ASILI

NAIBU WAZIRI NDERIANANGA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA TATU WA KIMATAIFA WA WATU WENYE ULEMAVU UJERUMANI.