PROFESA LIPUMBA, AWATAKA WATANZANIA KUTOGAWANYIKA.

  Timothy Marko,DmNewsOnline 

             DAR ES SALAAM.

 
MWENYEKITI wa  Chama Cha Civil United Front (CUF) Professa Ibrahim Lipumba amewataka Watanzania  kutorubuniwa kwa Migawanyiko inayochochewa na Baadhi ya Wanasiasa,Nakusisitiza kuwa Taifa la Tanzania  litajengwa kwa Misingi ya Amani na Umoja nasio Misingi ya Migawanyiko.

Akizungumza Katika Maadhimisho ya kumbukukizi ya Machafuko yaliyotokea 27 January 2001 Zanzibar Ambapo zaidi wafuasi 71 wachama hicho waliopoteza Maisha, Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa nivyema kukapatikana Mfumo mzuri wa Uchaguzi  unaozingatia haki na Umoja wa kitaifa.

"SsiI ni Chama tunachosimamia misingi ya Umoja wa kitaifa,tusikubali kugawanyika kwa misingi ya uzanzibari na Utanganyika" Amesema Mwenyekiti wa Chama Cha CUF Professa Ibrahim Lipumba.

Professa Lipumba Ameongeza kuwa nivyema kutatua Matatizo yetu kwa Misingi ya Amani.

"Watu wapate kura nyingi kwa misingi ya Uhuru na haki" Amesisitiza Professa Ibrahim Lipumba. 

Amebainisha kuwa Tangu Tanzania ipate uhuru ni miaka 65 lakini bado hatujaenga Demokrasia.   

Comments

Popular posts from this blog

UONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA WADAIWA SI HALALI NA UMEKOSA DIRA YA KUENDESHA VYAMA VYA WAGANGA WA TIBA ASILI

NAIBU WAZIRI NDERIANANGA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA TATU WA KIMATAIFA WA WATU WENYE ULEMAVU UJERUMANI.