WAZIRI WA KAZI UWEKEZAJI ZANZIBAR ATOA NENO TUZO ZA WAKUU NA WATENDAJI WA MAKAMPUNI.

  Na Mwandishi,DmNewsonline

WAZIRI wa Kazi na Uwekezaji Zanzibar, Shariff Ali Shariff (katikati), 
amesema tuzo za wakuu na Watendaji wa Makampuni 100 Bora Kuvutia Uwekezaji na kukuza uchumi wa Tanzania.

Waziri Shariff ameyasema hayo wakati akishiriki hafla ya utoaji tuzo hizo zilizofanyika  Novemba 21 ,2025 katika ukumbi wa The Super Dome Masaki jijini  Dar es salaam. 



Comments

Popular posts from this blog

UONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA WADAIWA SI HALALI NA UMEKOSA DIRA YA KUENDESHA VYAMA VYA WAGANGA WA TIBA ASILI

DKT. KIJAZI KUSIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA KOROGWE MJINI.