RAIS DKT SAMIA AJUMUIKA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU KUSALI KATIKA IBADA YA IDD MSIKITI WA MOHAMED VI KINONDONI.
Na Mwandishi wetu,DmNewsonline
DAR ES SALAAM
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumika na waisalamu wengine kusali swala ya Eid katika kukamilisha ibada ya Mfungo wa Ramadhan katika Msikiti wa Mohamed VI uliopo katika Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Kinondoni Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuswali Swala ya Eid El Fitr tarehe 31 Machi, 2025.
Comments
Post a Comment