HAFLA YA UZINDUZI USAMBAZAJI MITUNGI YA GESI

Na Mwandishi Wetu, DmNewsOnline


                     TANGA

MATUKIO  mbalimbali wakati wa hafla ya uzinduzi wa usambazaji mitungi ya gesi ya kupikia na majiko banifu kwa bei ya ruzuku inayofanyika leo Februari 27, 2025 mkoani Tanga. 

Mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. 

 Rais Samia leo hii amezindua ugawaji wa mitungi ya gesi (LPG) kwa wananchi ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia

Comments

Popular posts from this blog

UONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA WADAIWA SI HALALI NA UMEKOSA DIRA YA KUENDESHA VYAMA VYA WAGANGA WA TIBA ASILI

NAIBU WAZIRI NDERIANANGA AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA TATU WA KIMATAIFA WA WATU WENYE ULEMAVU UJERUMANI.