COSTECH COSTECH, WIPO KUKUZA MILIKI BUNIFU NCHINI .
Timothy Marko DmNews Online
DAR ES SALAAM.
TAASISI ya Miliki Bunifu Duniani (WIPO) Kwakushirikiana na Tume ya Sayansi Nchini (COSTECH) imezindua mpango Maalumu wa Uhamishaji wa Teknolojia kwa maendeleo ya Jamii.
Akizungumza Leo Juni Mosi,2026 jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia Nchini (COSTECH) Dk Amos Nungu amesema kuwa Mradi huo unaangazia Teknolojia bunifu ambazo nisahihi kwa Mazingira ya Tanzania.
"Tunataasisiza utafiti kuhusiana na Mradi huu Utahusisha Mkoa wa Njombe kama Eneo la Mradi wa Majaribio"Amesema Mkurugenzi wa COSTECH Dkt Amos Nungu
DKt.Nungu Ameongeza kuwa Program hiyo inalenga kukuza sekta ya Kilimo na Mifugo.
Amesisitiza kuwa takribani Teknolojia (15) zimeidhinishwa na taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Miliki Bunifu Duniani (WIPO).
"Hili nijambo kubwa tukifanikiwa tutaweza kuboresha miradi mbalimbali ya Sekta6 Kilimo na Mifugo " Amebainisha DK.Nungu.
Kwa Upande wake Mkurugenzi wa Miliki Bunifu Loy kutoka Taasisi ya Usajili wa makampuni BRELA Mhando amesema Taasisi hiyo imeamua kushirikiana na Taasisi ya Miliki Bunifu Duniani (WIPO)ilikuweza kukuza Miliki Bunifu Nchini.
"Duniani kote Miliki Bunifu zinalindwa ilikuweza kutmika na kuleta tija "Amesema Mkurugenzi wa Miliki Bunifu wa BRELA Loy Mhando.
Naye Mkurugenzi Mkaazi wa Taasisi ya Miliki Bunifu Duniani (WIPO)Purevdor Vaanchig amesema Mradio wa WIPO kwa kushirikiana na Tanzania Unalenga kukuza Sayansi na Teknolojia kwa jamii.
Amesema Mradi huo Unalenga kukuza Utafiti kwenye Taasisi za Utafiti ilikuweza kuleta tija kwa jamii.
"Mradi huu unalenga kukuza Ujuzi na kukuza miliki bunifu kwa Wananchi, ilikuweza kuleta Maendeleo ya Kitenolojia " Amesema Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi Miliki Bunifu Duniani (WIPO) Purevdor Vaanchhig.
TAASISI ya Miliki Bunifu Duniani (WIPO) Kwakushirikiana na Tume ya Sayansi Nchini (COSTECH) imezindua mpango Maalumu wa Uhamishaji wa Teknolojia kwa maendeleo ya Jamii.
Akizungumza Leo June Mosi,2026 jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Sayansi na Teknolojia Nchini (COSTECH) Dk Amos Nungu amesema kuwa Mradi huo unaangazia Teknolojia bunifu ambazo nisahihi kwa Mazingira ya Tanzania.
"Tunataasisiza utafiti kuhusiana na Mradi huu Utahusisha Mkoa wa Njombe kama Eneo la Mradi wa Majaribio"Amesema Mkurugenzi wa COSTECH Dkt Amos Nungu.
DK.Nungu Ameongeza kuwa Program hiyo inalenga kukuza sekta ya Kilimo na Mifugo.
Amesisitiza kuwa takribani Teknolojia (15) zimeidhinishwa na taasisi hiyo kwa kushirikiana na Taasisi ya Miliki Bunifu Duniani (WIPO).
"Hili nijambo kubwa tukifanikiwa tutaweza kuboresha miradi mbalimbali ya Sekta6 Kilimo na Mifugo " Amebainisha DK.Nungu.
Aidha kwa Upande wake Mkurugenzi wa Miliki Bunifu Loy kutoka Taasisi ya Usajili wa makampuni BRELA Mhando amesema Taasisi hiyo imeamua kushirikiana na Taasisi ya Miliki Bunifu Duniani (WIPO)ilikuweza kukuza Miliki Bunifu Nchini.
"Duniani kote Miliki Bunifu zinalindwa ilikuweza kutmika na kuleta tija "Amesema Mkurugenzi wa Miliki Bunifu wa BRELA Loy Mhando.
Naye Mkurugenzi Mkaazi wa Taasisi ya Miliki Bunifu Duniani (WIPO)Purevdor Vaanchig amesema Mradio wa WIPO kwa kushirikiana na Tanzania Unalenga kukuza Sayansi na Teknolojia kwa jamii.
Amesema Mradi huo Unalenga kukuza Utafiti kwenye Taasisi za Utafiti ilikuweza kuleta tija kwa jamii.
"Mradi huu unalenga kukuza Ujuzi na kukuza miliki bunifu kwa Wananchi, ilikuweza kuleta Maendeleo ya Kitenolojia " Amesema Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi Miliki Bunifu Duniani (WIPO) Purevdor Vaanchhig. 

Comments
Post a Comment