KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE TAMISEMI YAKOSHWA NA UBORA WA MIRADI YA MAENDELEO KIBAHA TC
Na Victor Massngu,DmNewsOnline, KIBAHA KAMATI ya kudumu ya Bunge ya Tamisemi imesema kwamba imeridhishwa kwa kiasi kikubwa na miradi ya maendeleo katika sekta ya afya na elimu ambayo imetekelezwa katika Halmashauri ya Kibaha mji kupitia fedha zinazotolewa kutoka serikali kuu na nyingine kupitia makusanyo yanayotokana na fedha za mapato yake ya ndani kwa ajili ya kuwaletea wananchi maendeleo. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa kamati hiyo ya kudumu Justine Kamoga wakati wa kamati hiyo ilipofanya ziara yake ya kikazi siku moja katika Halmaashauri ya mji Kibaha yenye lengo la kugagua na kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo kwa lengo la kuweza kujionea mwenendo mzima wa utekelezaji wake. Mwenyekiti huyo amesema kwamba wameweza kufanya ziara hiyo kwa a...
Comments
Post a Comment