ZIMAMOTO WAONESHA UMAHIRI WAKUOKOA MGONJWA KUTOKA GHOROFA YA TISA

 Na Mwandishi wetu,DmNewsOnline

          DAR ES SALAAM 


JESHI la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es Salaam limeungana kuadhimisha Siku ya Wazimamoto Duniani katika maonesho yaliyofanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja Jijini Dar es Salaam 

Jeshi Hilo limeonyesha matukio mbalimbali yanayohusisha shughuli za uokoaji ambapo katika hali isiyo ya kawaida kabisa,Askari mmoja ameonyesha umahiri wa  hali ya juu na wakuwavutia watazamaji.

Maonesho hayo yalikuwa ya ukakamavu na uwezo wa haraka wa kukabiliana na dharura  kumuoko mgonjwa aliyekuwa katika ghorofa ya tisa ya jengo.

Maadhimisho ya Siku ya Zimamoto Duniani yameonyesha umahiri mkubwa wa Jeshi   

Comments

Popular posts from this blog

UONGOZI WA SHIRIKISHO LA VYAMA VYA TIBA ASILI TANZANIA WADAIWA SI HALALI NA UMEKOSA DIRA YA KUENDESHA VYAMA VYA WAGANGA WA TIBA ASILI

DKT. KIJAZI KUSIMAMIA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA KOROGWE MJINI.