KASSIM MAJALIWA AFUTURISHA OFISI YA WAZIRI MKUU, AWATAKA WATANZANIA KUDUMISHA UMOJA NA AMANI.
Timothy Marko DmNews Online DAR ES SALAAM WAZIRI MKUU Mstaafu Kassim Majaliwa Majaliwa Amewataka Wananchi kuendeleza misingi ya Amani na utulivu.aliyoasisiwa na watangulizi wetu. Akizungumza Katika Hafla ya Futari hapo jijini Dar es Salaam Kassim Majaliwa Amewataka Viongozi wa Dini Nchini kudumisha Amani na Umoja na kuwataka kutogawanyika kwa Misingi ya Dini. "Leo katika Futari hii nimebahatikakuwaona Viongozi wa Madhehebu mbalimmbali wa kisilamu na Wasio Waisilamu hii inamanisha sisi ni Wamoja tusigawanyike katika Misingi ya Dini tuendele kuwa wa moja. Kwa upande wake Shelkh Mkuu Alhaj Mussa Salum amewataka Wasilamu na wasio waisalamu kuendelea kudumisha Amani iliyopo Nchini nakuwataka Watanzania kutogawanyika katika Misingi ya Dini. "Futari hii inadumisha misingi ya Dini ya kuwa wa moja kama alivyo agiza Mtume Mohamed S.AW Leo tupo hapa Na viongozi wa Dini akiwemo Baba Askofu Boniface Mwamposa hii ni Alama ya...