KONGAMANO LA PILI LA WANAWAKE TANESCO LAFANYIKA KWA KISHINDO
DAR ES SALAAM
WASHIRIKI Mbalimbali wa Kongamano la Pili la Wanawake wa TANESCO Kuhamasisha Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ya Umeme wakizungumza juu ya ushiriki wao katika kongamano hilo na manufaa makubwa waliyoyapata katika ushiriki wao kwenye kongamano hilo. 











Comments
Post a Comment