DOYO ATOA ANGALIZO KUHUSIANA MAANDAMANO YA JULAI 7 MWAKA HUU.

  TimothyMarko DmNewsOnline 

              DAR ES SALAAM 

KATIBU wa Chama cha National Legue for Democracy(NLD) amewataka Wanachama wachama hicho kujihusisha na tetesi za Vurugu zinazotarajiwa kufanyika Jula 7 mwaka huu katika jiji la Dar es Salaam. 

Pia ,Amewataka Watanzania kujiepusha na kauli za Wanaharakati wanaoleta choko Choko za kuvuruga Ulitulivu katika taifa.

Akizungumza Leo Jula mosi 2026 katika kikao cha Katibu kuu Chama hicho Doyo Hassan  amewetaka Wananchi kutojitokeza na kutojihusisha na Vurugu zinazodaiwa kufanyika jula 7,Mwaka huu. 

" Leo katika kikao chetu cha chama cha julai mosi na julai mbili tumeadhimia ,kutojihusisha na Vurugu zozote zinadaiwa  kufanyika Julai7 mwaka huu "Amesema Katibu Mkuu wa Chama hicho Doyo Hassan. 

Doyo  Ameongeza kuwa katika kikao hicho kiliangazia hali ya kisiasa inayoendelea Nchini,na Uimalishaji wa Chama.   

Comments