Posts

KASSIM MAJALIWA AFUTURISHA OFISI YA WAZIRI MKUU, AWATAKA WATANZANIA KUDUMISHA UMOJA NA AMANI.

Image
Timothy Marko DmNews Online           DAR ES SALAAM  WAZIRI MKUU Mstaafu Kassim Majaliwa Majaliwa Amewataka Wananchi kuendeleza misingi ya Amani na utulivu.aliyoasisiwa na watangulizi wetu. Akizungumza Katika Hafla ya Futari hapo jijini Dar  es Salaam Kassim Majaliwa Amewataka Viongozi wa Dini Nchini  kudumisha Amani na Umoja na kuwataka kutogawanyika kwa Misingi ya Dini. "Leo katika Futari hii nimebahatikakuwaona Viongozi wa  Madhehebu mbalimmbali wa kisilamu na Wasio Waisilamu hii inamanisha sisi ni Wamoja tusigawanyike katika Misingi ya Dini tuendele kuwa wa moja. Kwa upande wake Shelkh Mkuu Alhaj Mussa Salum amewataka Wasilamu na wasio waisalamu kuendelea kudumisha Amani iliyopo Nchini nakuwataka Watanzania kutogawanyika katika Misingi  ya Dini. "Futari hii inadumisha misingi ya Dini ya kuwa wa moja kama alivyo agiza Mtume Mohamed S.AW Leo tupo hapa Na viongozi  wa Dini akiwemo Baba Askofu Boniface Mwamposa hii ni Alama ya...

TANGA MWENYEJI WA MAADHISHO YA KITAIFA SIKU YA HAKI ZA MTUMIAJI 2026.

Image
Na Angelina Mganga ,DmNewsOnline            Dar es Salaam  MWENYEKITI  wa Jukwaa la Watumiaji Tanzania (TCF), D.G. Daudi, amesema kuwa usalama wa bidhaa na huduma ni haki ya msingi kwa watumiaji wote. Amesisitiza kuwa watumiaji wenye kujiamini ni wale wanaojua haki na wajibu wao, na hivyo wanadhibitiwa na wanazozihitaji. Katika kuadhimisha siku hii, Jukwaa la Watumiaji Tanzania (TCF) litaendesha shughuli mbalimbali za utoaji elimu kwa umma kuanzia tarehe 10 hadi 15 Machi 2026. Shughuli hizi zimeundwa kuelimisha watumiaji kuhusu haki zao na jinsi ya kutumia huduma zinazodhibitiwa. Amesema maadhimisho ya mwaka huu yataweka msisitizo katika masuala ya usalama wa huduma na bidhaa, ikiwa ni pamoja na huduma salama za nishati na maji zinazohusisha viwango vya ubora na kulinda maslahi ya watumiaji pamoja na mazingira. Aidha ameeleza kuwa shughuli zitajumuisha elimu kuhusu usalama wa watumiaji wa anga na vifaa vya usalama na usalama wa watumiaji wa nchi ...

OFISI MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUFANYA MREJESHO WA GHARAMA ZA UCHAGUZI .

Image
 Timothy Marko DmNewsOnline            DAR ES SALAAM.  OFISI ya msajili wa vyama vya Siasa Nchini  imevitaka Vyama vya Siasa Vilivyo Shiriki Uchaguzi Mkuu October 29,2025 kufanya Mrejesho wa taarifa za Gharama za  Uchaguzi.  Akizungumza Leo Machi 10,2026 Naibu  Msajili wa vyama vya Siasa Nchini Mohamed Ahmed amesema lengo la kuwakutanisha  vyama hivyo nikuweza kutoa Elimu juu ya sheria za Gharama za Uchaguzi . "Tuliwapa vyama vya Siasa siku 112 kuweza kurejesha fomu za Gharama za Uchaguzi"Amesema Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa Ahmed Mohamed. Naye,Katibu Mkuu wa Chama Cha NLD Doyo Hassan Doyo amesema kuwa Warsha hiyo itawasaidia vyama vya Siasa  kujua Sheria za Gharama za Uchaguzi.  Aidha,Naibu Katibu Mkuu wa chama cha Umma Bara Simbo Benson amesema Sheria hiyo itawezesha kufahamu mstakabali wa wagombea hao katika uchaguzi Ujao 2030. Naye Katibu Mkuu wa Chama Cha ACT Wazalendo Ester Thomas a...

SERIKALI KUCHOCHEA UCHUMI WA MANG'OLA KWA UJENZI WA BARABARA KILOMITA 10.8

Image
Na Mwandishi wetu,DmNewsOnline Karatu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amesema Serikali kupitia Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) itajenga barabara ya kijiji cha Mang’ola Barazani yenye urefu wa Kilomita 10.8 iliyopo wilayani Karatu, ili kuchochea ukuaji wa uchumi wa wananchi wa kijiji hicho kinachozalisha vitunguu vyenye thamani ya Bilioni 1.2 kwa mwaka. Prof. Shemdoe ametoa aahadi hiyo ya Serikali Machi 06, 2026 kwa wananchi wa kijiji hicho, alipopewa fursa na Mhe. Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ya kuwasalimia wananchi hao, mara baada ya Mhe. Waziri Mkuu kuweka Jiwe la Msingi la Mradi wa Ujenzi wa Skimu za Umwagiliaji katika Bonde la Eyasi na kupokea kero ya ubovu wa barabara hiyo ya Mang’ola Barazani. “Kijiji cha Mang’ola kwa mwaka kinazalisha vitunguu vyenye thamani ya Bilioni 1.2, kimsingi miundombinu ya barabara ya Mang’ola Barazani inatakiwa kuboreshwa kutokana na umuhimu wake na itaboreshwa mara baada ya kukamilika kwa ...

DIWANI MASANINGA MKURANGA AFUTURISHA YATIMA , WAZEE NA VIONGOZI MBALIMBALI ,WASEMA NI WATOFAUTI.

Image
  Na Mwandishi wetu,DmNewsonline                MKURANGA  DIWANI wa kata ya kiparang'anda wilayani mkuranga mkoa wa Pwani  Mariam Masaninga amekutana na wenyeviti wa vitongoji na wenyeviti wa vijiji kwa lengo la kuwaeleza kwamba wawe tayari kwa ajili ya kuwatumikia wananchi kwa ajili ya Maendeleo ya kata. Masaninga amewaeleza viongozi hao kuwa uchaguzi ulishamalizika na kazi iliyoko mbele yao  ni kwenda kwa kuwatumikia wananchi kwa maana ya kutatua kero zao na kuwaletea Maendeleo . Masaninga ameyasema hayo mapema wiki hii  wakati alipokutana na viongozi hao katika ofisi ya mtendaji kata ya kiparang'anda wilayani mkuranga . "Nimekuja leo kuwaomba na kuwaeleza kwamba naomba ushirikiano wenu mkubwa na kwamba sasa tunakwenda kufanya kazi kwa ajili ya Maendeleo ya wananchi wetu ndani ya kata ya kiparang'anda na wilaya yetu kwa ujumla ."amesema   Diwani Masaninga ameewaeleza kuwa endapo watashirikiana kwa pamoja wakion...

MHE. GWAJIMA AIPONGEZA TANESCO KUANDAA KONGAMANO LA WANAWAKE LA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Image
  Na Mwandishi wetu,DmNewsOnline                DAR ES SALAAM  WAZIRI wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dorothy Gwajima amelipongeza Shirika la umeme Tanzania TANESCO kwa kuandaa kongamano la wanawake wa Shirika hilo la kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ya umeme. Mhe. Gwajima ametoa pongezi hizo leo Machi 04, 2026 wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee akiwa kama mgeni rasmi ambapo amewataka wanawake wanaofanya kazi katika Shirika la Umeme Tanzania, (TANESCO), kuwa vinara wa mabadiliko katika kufanikisha ajenda ya taifa ya matumizi ya nishati safi ya kupikia. “Kongamano hili ni la kipekee sana na nimejionea namna tukio hili ni wazo zuri ambalo linalenga kutangaza na kukuza matumizi ya nishati ya kupikia hii ya umeme. Kongamano hili ni muhimu kwa sababu linagusa moja kwa moja afya zetu sisi wanawake ustawi wa familia zetu, maendeleo ya uchumi wa kaya ...

MAHAFALI YA COHORT YA 11 YA MWANAMKE KIONGOZI, 158 WAHITIMU

Image
 Na mwandishi wetu, DmNewsTz  Spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa tanzania mussa azzan zungu amesema bunge litaendelea kufanya maboresho mbalimbali ya sheria zinazolinda haki na ustawi wa wanawake nchini hali itakayosaidia tanzania kuwa na viongozi wengi zaidi wanawake hususani katika ngazi za juu za uongozi ‎ ‎Zungu ameyasema hayo jijini dar es salaam wakati wa hafla ya mahafali ya 11 ya programu ya mwanamke kiuongozi yaliyoandaliwa na taasisi ya waajiri nchini ate yenye lengo la kuwajengea uwezo wa kiuongozi wanawake ambao ni watumishi kutoka taasisi mbalimbali ‎ ‎Kwa upande wake naibu waziri ofisi ya waziri mkuu kazi, ajira na mahusiano rahma kisuo amewataka wahitimu hao kutokuwa vikwazo vya kuwawezesha wanawake wengine katika maeneo yao na badala yake wakawe daraja kwa wengine ili kukuza ushiriki wa wanawake katika maendeleo Naye Mtendaji Mkuu wa Chama Cha waajili Tanzania (ATE ) Adv. Suzanne Ndomba-Doran amewasihi wahitimu wa Cohort ya 11 kuendelea kushikana mikono ...