MLAWA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA KILOLO _IRINGA

 Na Eliasa Ally DmNewsOline I

                RINGA 

MDAU  wa maendeleo na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  wa Iringa, Aidan Mlawa, leo amechukua rasmi fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge wa Jimbo la Kilolo kupitia chama hicho.

Hatua hiyo inamuweka rasmi katika kinyang’anyiro cha kusaka ridhaa ya wananchi  kugombea ubunge kwa tiketi  ya chama hicho.

Mlawa, amejijengea heshima kubwa kwa mchango wake katika shughuli za kijamii, amekuwa mstari wa mbele kusaidia wananchi wa Wilaya ya Kilolo hususani wale walioko kwenye mazingira magumu, pamoja na kushiriki kwa karibu katika kupigania utekelezaji wa miradi ya maendeleo.   

Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE TAMISEMI YAKOSHWA NA UBORA WA MIRADI YA MAENDELEO KIBAHA TC

MAMBO 10 MAZITO YANAYOIANGAMIZA NA KUIZAMISHA CHADEMA 2024/2025