KASESELA ACHUKUA FOMU JIMBO LA RUNGWE.
Na Mwandishi wetu,DmNewsonline
MBEYA
MJUMBE wa NEC amechukua fomu kuwania ubunge jimbo la Rungwe lililopo Jijini Mbeya,Jimbo hilo ambalo linaongozwa na Mbunge Anton Mwantona hadi sasa.
Mbali na kasesela pia Jimbo hilo pia linanyemelewa na Gwamaka Mwafwenga aliyekuwa mkurugenzi wa NEMC, yupo pia Eliud Mwaiteleke, Aliko Mwaiteleke na wengine ambao wameonesha nia ya Ubunge.
Ikumbukwe kuwa Kasesela ameshashika nafasi mbalimbali ndani ya Chama na nje ambapo kwa upande wa Serikali ameshawahi kuwa mkuu wa wilaya ya iringa mjini.



Comments
Post a Comment