ππ£π π ππππππ πππ¨π₯π¨ ππππ¨π₯π ππ π ππ₯ππππ π¨ π¦πππππ πππ₯ππ¦ ππππ¨π πͺππππ
Na Mwandishi wetu,DmNewsonline
ZANZIBAR
KATIBU wa NEC Itikadi ,Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa ndugu Amos Makalla leo tarehe 30 Januari 2025 akiwa katika Muendelezo wa ziara yake Mikoa 6 ya Zanzibar ametembelea kaburi la Sheikh Idris Abdul Wakil aliyekuwa Rais wa awamu ya Nne katika serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar 1985 - 1990 kwenye Makaburi ya familia Kusini Unguja
Comments
Post a Comment