DIWANI KATA YA ISYESYE AONGOZA WANACHAMA KUSINDIKIZA WAGOMBEA UENYEKITI ZOEZI LA UCHUKUAJI FOMU
Na Mwandishi wetu,DmNewsOnline
MBEYA
DIWANI wa kata ya Isyesye(CCM) Jijini Mbeya ,Ibra John October 28 ,2024 ameongozana na wanachama wa Chama hizo katika zoezi la uchukuaji fomu la kuwasindikiza wagombea uenyekiti na ujumbe wa serikali za mitaa kuchukua fomu kwa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wa kata .
Comments
Post a Comment