DKT. BITEKO AWASILI MKOANI SHINYANGA

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati,  Dkt. Doto Biteko amewasili mkoani Shinyanga akitokea jijini Dar es Salaam kwa ziara ya kikazi leo Disemba 29, 2023.

Alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kahama, Dkt. Biteko alipokelewa na viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi mkoani Shinyanga  akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Johari Samizi, Mbunge wa Ushetu, Mhe. Emanuel Cherehani na Mbunge wa Kahama Mjini, Mhe.Jumanne Kishimba.





Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE TAMISEMI YAKOSHWA NA UBORA WA MIRADI YA MAENDELEO KIBAHA TC

MAMBO 10 MAZITO YANAYOIANGAMIZA NA KUIZAMISHA CHADEMA 2024/2025