SHILINGI TRILION 2.34 KUKUZA SEKTA YA KILIMO
Timothy Marko DmNewsonline .
DAR ES SALAAM.
KATIKA kuhakikisha Sekta ya Kilimo inaimarika, Taasisi ya Trust Pass imewezesha kutoa mikopo ya zaidi ya Shilingi Trilioni 2.34 kwa ajili kukuza Sekta hiyo inayochangia Asilimia 60 ya Pato la Taifa Nchini.
Akizungumza katika kongamano la Wafanyabiasha lililofanyika Jijini Dar es Salaam Octoba 13,2025 na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda amesema kuwa zaidi ya Asilimia 60 ya Ajira kwa Wananchi imekuwa kichagizwa na Sekta ya Kilimo.
"Lazima Kama Watanzania tuifungamanishe Mifumo ya Elimu nakilimo ilikuweza kukuza Soko la Ajira Nchini"Amesema Mkuu wa Wilaya Temeke Sixtus Mapunda.
Mapunda Ameongeza kuwa Nchini Nyingi Duniani zinategemea Rasmali za kukuza Uchumi kutokana Sekta ya Kilimo.
Amesisitiza kuwa Takriban Shilingi milioni 2.8 ya Mikopo ya Trust Pass imewekeza katika Sekta hiyo.
"Nivyema mifumo ya kifedha ikiaungamanisha na Vyama vya Ushirika ilikuweza kukuza Sekta ya Kilimo Nchini" Amebainisha wa Mkuu wa Wilaya Temeke situxus Mapunda.
Pia Kaimu Mkurugezi wa Biashara wa Pass trust Adam Kamanda amesema kuwa Taasisi hiyo iliyochini ya Ofisi ya Waziri Mkuu iliyo nadhima kukuza Sekta ya Kilimo Nchini.
Ambapo Takriban Shilingi Trioni 2.4 zimeweza kuwekezwa katika Taasisi hiyo ilikuweza kukuza Sekta ya Kilimo Nchini.
"Taasisi hii imelenga kumuwezesha Mkulima kukuza mipango madhubuti kukuza Sekta ya Kilimo,Sekta ya Kilimo ni fursa " Kaimu Mkurugezi wa Biashara wa Taasisi ya Pass Trust Adam Kamanda inaimarika, Taasisi ya Trust Pass imewezesha kutoa mikopo ya Zaidi Shilingi Trioni 2.34 kwa Ajili kukuza Sekta hiyo inayochangia Asilimia 60 ya Pato la Taifa Nchini.
"Lazima Kama Watanzania tuifungamanishe Mifumo ya Elimu nakilimo ilikuweza kukuza Soko la Ajira Nchini"Amesema Mapunda.
Mapunda Ameongeza kuwa Nchi Nyingi Duniani zinategemea rasilimali za kukuza uchumi kutoka Sekta ya Kilimo.
Amesisitiza kuwa Takriban Shilingi milioni 2.8 ya Mikopo ya Trust Pass imewekeza katika Sekta hiyo.
"Nivyema Mifumo ya kifedha ikiaungamanisha na Vyama vya Ushirika ilikuweza kukuza Sekta ya Kilimo Nchini" Amebainisha wa Mkuu wa Wilaya Temeke Sixtus Mapunda.
Aidha, Kaimu Mkurugezi wa Biashara wa Pass trust Adam Kamanda amesema kuwa Taasisi hiyo iliyochini ya Ofisi ya Waziri Mkuu iliyo nadhima kukuza Sekta ya Kilimo Nchini.
Ambapo Takriban Shilingi Trioni 2.4 zimeweza kuwekezwa katika Taasisi hiyo ilikuweza kukuza Sekta ya Kilimo Nchini.
"Taasisi hii imelenga kumuwezesha Mkulima kukuza Mipango Madhubuti kukuza Sekta ya Kilimo,Sekta ya Kilimo ni fursa " Kaimu Mkurugezi wa Biashara wa Taasisi ya Pass Trust Adam Kamanda. 

Comments
Post a Comment