MKURANGA, KUMEKUCHA ULEGA MTU WA WATU,MAMA CHATANDA AZINDUA KAMPENI RASMI.
Na Mwandishi wetu,DmNewsonline
MKURANGA
JIMBO la Mkuranga kumekucha ambapo Mgombea ubunge Jimbo hilo Alhaj Abdallah Hamis Ulega amezindua rasmi kampeni za uchaguzi wilayani humo
Mkutano mkubwa wa uzinduzi wa kampeni umefanyika katika Viwanja vya shule ya msingi Mwandege ambapo mgeni rasmi wa uzinduzi huo wa kampeni alikuwa Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake (UWT) CCM Taifa Mary Chatanda 

Comments
Post a Comment