SALMIN NCHIMBI ACHUKUWA FOMU YA UDIWANI ,MWEMBESONGO Na



Na Mwandishi wetu,DmNewsonline

               MOROGORO


ALIYEWAHI kuwa Mwenyekiti Chipukizi (CCM) wilaya Ya Morogoro Mjini na Mjumbe wa Baraza Kuu (Uvccm) Taifa - Kuiwakilisha Chipukizi,Salmini Nchimbi amechukua fomu leo ya kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya  Mwembesongo,wilaya ya Morogoro Mjini Mkoa wa Morogoro.

Salmini ni miongoni mwa vijana wachache waliamua kugombea nafasi hiyo katika Kata ya Mwembesongo. 
  


Comments

Popular posts from this blog

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE TAMISEMI YAKOSHWA NA UBORA WA MIRADI YA MAENDELEO KIBAHA TC

MAMBO 10 MAZITO YANAYOIANGAMIZA NA KUIZAMISHA CHADEMA 2024/2025