KADA CCM ABUBAKAR OMARY ARUDISHA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA MANONGA.
Na Tunu Nassir,DmNewsonline
IGUNGA
KADA wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abubakar Omary amerudisha fomu ya kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea nafasi ya Ubunge katika jimbo la Manonga wilaya ya Igunga mkoani Tabora.
Abubakari anakuwa miongoni mwa wagombea kumi akiwamo mbunge anayemaliza muda wake Seif Gulamali.
Comments
Post a Comment