MWENYEKITI WA BODI TPLB ABWAGA MANYANGA , KARIA AMSIMAMISHA KAZI KASONGO
Na Mwandishi wetu,DmNewsOnline
Dar Es Salaam
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeelezwa kuwa Rais wa TFF Wallace Karia amemsimamisha kazi Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Almasi Kasongo.
Sambamba na hilo, Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi TPLB, Steven Mnguto naye amewasilisha barua rasmi ya kujiuzulu nafasi yake, huku TFF ikipokea uamuzi huo.
Taarifa hiyo imetolewa leo Juni 13, 2025 na Katibu Mkuu wa TFF, CPSP (T) Kidao Wilfred.
Comments
Post a Comment