DKT. DELILAH KIMAMBO BOSS MPYA MUHIMBILI
Na Mwandishi wetu,DmNewsOnline
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali., Katika uteuzi huo Dkt. Samia amemteuwa Dkt. Delilah Kimambo kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, akichukua nafasi ya Prof. Mohamed Janabi aliyeteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani ( WHO ) Kanda ya Afrika.
Comments
Post a Comment