RAIS SAMIA AZINDUA SEKONDARY YA WASICHANA NAMTUMBO
Na Mwandishi wetu,DmNewsOnline
RUVUMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mchepuo wa Sayansi na Sanaa Namtumbo Mkoani Ruvuma iliyopewa jina la ya Dr.Samia Suluhu Hassan ambayo ujenzi wake umegharimu Shilingi Bilioni 4.6 leo September 27,2024.
Comments
Post a Comment