KISHINDO CHA RAIS SAMIA MKOANI RUVUMA NI BALAA.. MAELFU WAJITOKEZA
Na Mwandishi wetu,DmNewsOnline
RUVUMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Maelfu ya Wananchi wa Kata ya Litola Wilaya ya Namtumbo waliofurika Barabarani kumlaki wakati wa Ziara yake Mkoani Ruvuma leo leo September 26, 2024.
Comments
Post a Comment