KATIBU MKUU CCM AKUTANA NA KOMRED TANG DENGIIE KUTOKA CHAMA CHA CPC, DAR ES SALAAM
Na MwandishiWetu,DmNewsOnline
DAR ES SALAAM
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akiwa kwenye mazungumzo na Komredi Tang Dengjie, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC), yaliyofanyika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar Es Salaam, mwishoni mwa juma lililopita. Komredi Dengjie na ujumbe wake, amefanya ziara ya kikazi ya siku 3 nchini.
Comments
Post a Comment