Posts

JENISTA MHAGAMA NYOTA ILIYOZIMIKA GHAFLA.

Image
   Timothy Marko, DmNewsnline                 Jenister Mhagama ni Mwanasiasa maarufu kutoka Tanzania ambaye amehudumu kwa miaka mingi katika uongozi wa Serikali na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.  Marehemu Mhagama alizaliwa Juni 23, 1967 katika Wilaya ya Songea Mjini, Mkoani Ruvuma Nchini Tanzania.  Jenister Alipata Diploma ya Ualimu kutoka chuo Cha ualimu wilaya ya  Korogwe (Teachers Training College)mkoani Tanga na aliwahi kufanya kazi kama mwalimu kabla ya kuingia kwenye siasa.  Jenista Mhagama  kifo chake kimetokea leo Desember 11,2025 akiwa bado ni mmoja wa viongozi wakubwa wa taifa, na taarifa ya kifo chake ili tangazwa rasmi na Bunge na vyombo vya habari nchini Tanzania Jenista Mhagama alikuwa Mbunge na kiongozi ndani ya Serikali kabla ya awamu hii alikuwa wa afya wa Serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania . Pia marehemu Jenister alikuwa mstari wa mbele katika masuala ya sera, afya, ajira, vi...

MWENYEKITI WA MECIRA AJIBU KAULI ZA WANASIASA

Image
 Na Mwandishi wetu,DmNewsOnline             DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali za Taifa (MECIRA), Habibu Mchange, amekemea vikali kauli za baadhi ya viongozi wa kisiasa wanaodaiwa kutaka kuirudisha Tanzania kwenye mifumo yenye sura ya ukoloni au utumwa. Amesema hayo leo, Desemba 12, 2025 jijini Dar es Salaam, wakati akijibu hoja zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kufuatia tamko la chama hicho. Mchange amesisitiza kuwa MECIRA, kama sehemu ya Watanzania, inawakumbusha wanasiasa wote kwamba maslahi ya Taifa yanapaswa kupewa kipaumbele kuliko maslahi binafsi au ya vyama vyao vya siasa.

RAIS DKT. SAMIA AMLILIA JENISTER MHAGAMA

Image

JENISTER MHAGAMA AFARIKI DUNIA LEO JIJINI DODOMA

Image

WAFANYABISHARA SOKO LA NYAMA CHOMA VINGUNGUTI WASHAURIWA KUTANUA BIASHARA ILI WAENDANE NA HADHI YA SOKO

Image
  Na Mwandishi Wetu,DmNewsonline                      DAR ES SALAAM MENEJA soko la Nyama choma la Vingunguti, jijini Dar es Salaam, Iddy Ally amewashauri wafanyabiashara wa soko hilo kutanua wigo wa biashara sokoni hapo ili kuvutia wateja wengi na kulifanya lizidi kuwa la kimataifa. Wito huo umetolewa Disemba 10, 2025 ofisini kwake, alipotembelewa na wanahabari, ambapo pamoja na mambo mengine amesema halmashauri ya Manispaa ya Ilala ilianzisha soko hilo  kwa lengo la wafanyabiashara walitumie kuinuka kiuchumi na kupata sehemu ya kupumzisha akili zao baada ya kazi. “Soko hili limejengwa kwa jitihada za Mkurugenzi wa Jiji  pamoja na aliyekuwa diwani wa kata ya Vingunguti, waliona mbali kujenga soko la Kimataifa la Nyama choma, ambalo kwakweli liko sehemu nzuri kibiashara, na pembezoni mwa barabara.  “Changamoto iliyopo, wafanyabiashara tulio nao wameshindwa kutanua wigo wa bidhaa wanazouza kwenye soko hili, wameng’...

TANZANIAN SCIENTISTS ACHIEVE LANDMARK BREAKTHROUGH IN THE FIGHT AGAINST MALARIA

Image
' New study published in Nature marks a milestone for African-led innovation, as Tanzanian researchers develop genetically modified mosquitoes that block malaria transmission ' In a landmark study published in Nature, scientists from the Ifakara Health Institute (IHI) and the National Institute for Medical Research (NIMR) in Tanzania, in partnership with Imperial College London through the Transmission Zero programme, have successfully developed genetically modified mosquitoes in Tanzania that block the transmission of malaria. “This is the first time a genetically modified, gene drive-compatible mosquito strain has been developed in Africa, by African scientists, targeting malaria parasites circulating in local communities,” said Dr. Dickson Wilson Lwetoijera, Programme Director at IHI. “We are proud to be driving innovation locally, using cutting-edge tools to address one of our continent’s most pressing health challenges.” This milestone represents a powerful new model for g...

ACCELERATED ENTRY : HOW EAST AFRICA LEAPFROGGED INTO THE CLOUD AGE

Image
  By Erkan Satik, Director of Cloud Ecosystem & Alliances at Wingu Africa East Africa has quickly become one of the most dynamic regions for cloud computing. By 2025, around 70–77% of enterprises across the region are using cloud services, placing East Africa among the continent’s leaders in digital adoption1. Unlike Europe or North America, where legacy IT systems slow down transitions, East African firms often build directly on public cloud platforms, which reduces costs and avoids the burden of outdated infrastructure. Globally, cloud spending is expected to exceed $912 billion in 2025, with adoption in the Middle East and Africa expanding at 35% annually2. In Tanzania alone, the public cloud market is projected to reach US$265 million by 2025 with strong annual growth through to 20303. Ethiopia, though later to liberalise its ICT sector, is rapidly scaling its infrastructure and digital strategies, underpinned by major renewable power projects that are unlocking the energy ...